DC Mtambule: Lipeni Ushuru Wa Maegesho kabla ya Juni 30, 2024
Wamiliki wa magari wanaodaiwa ushuru wa maegesho ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wametakiwa kulipa ushuru wa maegesho (Parking) haraka kabla ya Juni 30, 2024 vinginevyo hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Tamko…
