Juventus Yajitupa kwa De Gea
KLABU ya Juventus ambayo imekuwa ikifanya usajili wa kufuru kwa miezi ya hivi karibuni, inajiandaa kumsajili kipa wa Manchester United, David de Gea.
De Gea amekuwa akiwindwa na timu kadhaa kwa miaka ya hivi karibuni kutokana…
