Jeshi Lavunja Serikali ya Chad, Mtoto wa Deby Kuwa Rais wa Mpito
Kufuatia kifo cha Rais Idriss Deby kilichotangazwa jana Aprili 20, 2021 imeelezwa Jeshi litaongoza Nchi kwa kipindi cha miezi 18, na Baraza litaongozwa na Mtoto wa Rais, Mahamat Kaka, ambaye pia anafahamika kama Mahamat Idriss Deby.…
