Mtangazaji Hassan Wiboneya ‘Dee Seven’ Afariki Dunia
Mtangazaji mahiri aliyejipatia umaarufu mkubwa akiwa katika Kituo cha Redio cha Kiss FM cha jijini Mwanza, akitangaza kipindi cha African Beats, Hassan Wiboneya almaarufu Dee Seven, amefariki dunia.
Taarifa za kifo cha mtangazaji huyo…
