The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

Dejan Lovren

Roma Yamuibukia Beki wa Liverpool

SENTAHAFU wa Liverpool, Dejan Lovren inasemekana yupo njia moja kujiunga na Roma ya Italia. Roma inadaiwa imetenga kitita cha pauni milioni 15 (Sh. bilioni 42) ili kumsajili beki huyo wa Croatia. Mapema Roma iliwasiliana na Liverpool…