Kijana wa Miaka 22 Atiwa Nguvuni kwenye Mauaji ya Copenhagen, Denmark
IMEBAINIKA kuwa kijana mwenye umri wa miaka 22, ametiwa nguvuni baada ya kubainika kuwa ndiye mhusika wa shambulio la jumba la kibiashara jijini Copenhagen nchini Denmark ambapo ripoti zinadai kuwa jumla ya watu 3 wameuawa…
