CHUO CHA UDSM ,CHAANZA RASMI KUTOA MAFUNZO YA KISWAHILI KWA RAIA WA CHINA
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), Kimeanza kutoa mafunzo rasmi kwa raia 65 wa China ,ambao wamejisajiri rasmi chuoni hapo ili kupata mafunzo ya lugha ya Kiswahili yatakayo wasaidia kuendeleza mahusiano ya kibiashara na Nchi ya Tanzania.…
