Mbunge Amkomalia Magufuli Aongezewe Muda Madarakani
MBUNGE wa Makambako (CCM), Deo Sanga, jana Jumatano Februari 3, 2021, amerudia kauli yake ya kutaka Rais John Magufuli aongezewe muda wa kukaa madarakani.
Ameeleza hayo bungeni mjini Dodoma katika mjadala wa…
