Waziri Ndejembi Aelekeza Watumishi Wa Ardhi Wasio Waadilifu Kuchukuliwa Hatua
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amemwelekeza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kumchukulia hatua kali za kinidhamu Afisa Ardhi Mwandamizi Gaudence Mtalo kwa kusababisha mkanganyiko kwa kukosa uadilifu katika…
