Dereva achinjwa kikatili
Salum Masoud enzi za uhai wake.
Na Boniphace Ngumije
INASIKITISHA! Salum Masoud (35), mkazi wa Kijichi, Rufiji mkoani Pwani ambaye alikuwa dereva wa magari ya kubeba mizigo mkoani humo ameuawa kikatili kwa kuchinjwa na watu…
