Dereva Bajaj afa ghafla!
Marehemu Deogratius Mlawa enzi za uhai wake.
Stori: Suzan Kayogela, UWAZI
DAR ES SALAAM: Inauma sana! Deogratius Mlawa, mkazi wa Mlalakuwa, Mwenge Dar, amekutwa kwenye mfereji uliopo karibu kabisa na shamba la jirani yao akiwa amefariki…
