Serikali Yawaagiza Wahitimu Kidato cha Sita, 2016 Ambao Hawajajiunga na Vyuo Wakaripoti Kambi za…
Serikali amewaagiza wote waliohitimu kidato cha sita Mei mwaka huu na ambao hawajajiunga na vyuo vya elimu ya juu, wakaripoti katika kambi za Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Desemba Mosi, mwaka huu. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,…
