Chin Bees Akitaka ‘Ladha’ Kwa Watoto Wakali, Video Mpya
Kutoka chini ya Lebo ya Wanene, rapa Chin Bees huwa hataki utani hasa pale linapokuja swala la kuomba 'Ladha' kwa watoto wa kike katika video yake mpya.
Wimbo wa ladha unapatikana katika album ya Ladha ya Chin…
