Deus Kaseke Asaini Miaka Miwili Yanga
KATIKA kuhakikisha wanakiboresha kikosi chao kwa ajili ya msimu ujao, Yanga imemuongezea mkataba wa miaka miwili kiungo Deus Kaseke.
Huyo atakuwa mchezaji wa pili kuongezewa mkataba.
Kaseke ni kati ya wachezaji kipenzi cha…
