Mashabiki Simba Watoa Neno Kuhusu Dewji, Manara
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa unaunga mkono jitihada zote za uwekezaji zinazofanywa na mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’ huku wakimuaga aliyekuwa msemaji wa timu hiyo, Haji Manara.…
