Profesa Msomi Zaidi Duniani Mwenye Shahada 145
KAMA unafikiri kupata shahada (digrii) ni kazi ngumu, tangu sasa fahamu kwamba Profesa V.N. Parthiban anayefundisha jijini Chennai, India, ana shahada 145 alizozipata katika kipindi cha miaka 30!
Si hivyo tu, jamaa huyo bado ana…
