Leonard Di Caprio aandika historia
Leonardo Di Caprio baada ya kuchukua tuzo ya Oscar
Alicia Vikander ameshinda tuzo ya Best Supporting Actress.
JANA usiku katika jiji la Los Angeles kulikuwa na sherehe kubwa ya utoaji wa Tuzo za 88 za Oscar.
Katika tuzo hizo,…
