Ugonjwa wa kisukari unavyosumbua wengi
Ugonjwa wa kisukari kitaalam huitwa Diabetes Mellitus unasumbua watu wengi duniani na hutokea pale tezi kongosho au Pancrease inaposhindwa kutengeneza homoni au kichocheo aina ya Insulin.
Ugonjwa huu ni kati ya magonjwa yasiyoambukiza,…
