Diamond Atapiga ‘live’ Krismasi Dar Live
Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond.
Na Andrew Carlos
ISHU ni moja tu sasa, kwamba mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ atapiga show ‘live’ jukwaani kwa kutumia vyombo siku ya Krismasi kwenye Uwanja wa Taifa wa Burundani,…
