Khadija Kopa, Msagasumu, Harmorapa, Nature jukwaa moja Pasaka Dar Live
KONGWE kwenye gemu ya Bongo Fleva, Juma Kassim Ally ‘Nature’ anatarajiwa kumpandisha kwa mara ya kwanza jukwaani msanii ambaye ni gumzo jijini, Athuman Omary ‘Harmorapa’ katika Sikukuu ya Pasaka ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar…
