MUBENGA: DIMPOZ KAPOTEZA DIRA KIMUZIKI
MUBENGA aliyekuwa meneja wa msanii, Ommy Dimpoz, ameibuka na kusema kuwa tangu aache kumsimamia msanii huyo, amepoteza dira kimuziki, ndiyo maana hatoi nyimbo kwa wakati.
“Tukizungumza kwa namna ambavyo mimi nimefanya kazi na Ommy,…
