The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

diamond platinumz

Gari Jipya la Diamond Lazua Balaa!

KUPITIA ukurasa wa Instagram wa mtoto wa kiume wa Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz na Zarithebosslady, Prince nillan imechapishwa picha inayomuonyesha mtoto huyo akiwa ndani ya Gari la kifahari kisha kuandikwa; “Heading to…

Aslay afunguka kujiunga Wasafi

KWA mara ya kwanza, staa wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka Nassoro amefunguka juu ya tetesi za muda mrefu kwamba, yupo kwenye mipango ya kujiunga na Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) inayomilikiwa na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond…

Tanasha: Simtegemei Mondi

MZAZI mwenziye na msanii Nasibu Abdul “Diamond au Mondi”, Tanasha Donna amesema haishi kwa kumtegemea mtu.  Tanasha alikiambia chombo kimoja cha habari nchini Kenya hivi karibuni ambako ndiko alikozaliwa kwamba ana uwezo wa kuendesha…

PROF JAY AMPA HESHIMA MONDI

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Professor J’ ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro, juzikati alivutiwa na ngoma mpya ya Diamond Platnumz inayoitwa Inama aliyomshirikisha mwanamuziki Fally Ipupa.…

RASMI..DIAMOND KUMUOA HUYU !

PENZI ni kikohozi kulificha huwezi! Hicho ndicho kilichotokea kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye rasmi ametangaza kuwa mbioni kumuoa mrembo shombeshombe wa Mombasa nchini Kenya anayejulikana kwa jina la…

KWA HAYA MONDI , KIBA MUAMKE TU

UNAKUM-BUKA vile vibweka vya mwenye kiti chake amerudi? Ally Salehe Kiba aliyekuwa amepotea kwenye gemu takriban kama miaka mitatu hivi, alirejea na kukuta muziki umeshikiliwa na bwana’ mdogo kutoka Tandale, Nasibu Abdul ‘Diamond…

UTATA WAIBUKA BETHIDEI YA TIFFAH

DAR ES SALAAM: WAKATI mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akitangaza maandalizi ya kufuru ya bethidei ya mwanaye Tiffah (pichani), utata umeibuka baada ya upande wa pili wa mzazi mwenziye msanii huyo, Zarinah Hassan…

BETHIDEI YA TIFFAH KUFURU

DAR ES SALAAM: Maandalizi ya pati ya kuzaliwa (birthday) ya bintiye ambaye ndiye uzao wake wa kwanza, Latifah Nasibu ‘Tiffah Dangote’ (3), yamemfanya baba’ke ambaye ni staa wa muziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kutoa…