Exclusive: Harmonize Ataja Sababu za Kutoendana na Wolper, Azungumzia Umaarufu wa Harmorapa
MSANII wa kwanza kusainiwa kwenye Lebo ya Muziki ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platinumz, Harmonize kwa mara ya kwanza amefunguka akitaja sababu ambazo wadau na mashabiki wamekuwa wakinong’ona kuwa haendani na mpenzi wake wanaedaiwa…
