VIDEO MPYA:Diamond Platnumz Kakupa Ujumbe Kwa Umpendaye, ‘The One’
Boss wa WCB, Diamond Platnumz ametoa video ya wimbo wake mpya The One kwenye Pasaka ya pili.
Ametoa wimbo huo kama uujumbe maalumu kwa mtu kumtumia ampendaye.
Video imetengenezewa Morogoro, Bagamoyo…
