Diwani Wilayani Makete Amgomea Mkuu wa Wilaya Kujenga Bweni la Shule
NI maelekezo ya Mkuu wa Wilaya ya Makete mkoani Njombe Juma Sweda aliyoyatoa wiki moja iliyopita kwa kumuagiza Afisa Tarafa ya Bulongwa kuitisha kikao cha viongozi kata ya Bulongwa na Luwumbu kujadili na kufikia muafaka wa kushirikiana…
