×

Tag: djuma

Bangala, Djuma Kupewa Mikataba Mipya Yanga, Meneja wa Wachezaji Atua Dar

  MENEJA wa wachezaji wa Yanga, Djuma Shabani na Yanick Bangala, anayefahamika kwa jina la Faustino Mukandila, tayari ameshatua jijini...

READ MORE

Djuma Apewa Majukumu ya Saido na Mayele, Apewa Kupiga Penalti Zote Yanga

BEKI mkongwe wa Yanga, Mkongomani, Shaaban Djuma, amepewa majukumu mapya ya kupiga penalti zote itakazozipata timu hiyo inayowaniwa ubingwa wa...

READ MORE

Nabi Amuandaa Djuma Kuwamaliza Mtibwa Sugar

RASMI beki wa pembeni wa Yanga, Mkongomani, Djuma Shaban ataanza kuonekana katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar ya Morogoro ikiwa...

READ MORE

Mrithi wa Djuma Shaban Yanga Atajwa

BEKI wa kati wa Yanga, Ibrahim Abdallah Hamad ‘Bacca’, amekabidhiwa jukumu la kurithi mikoba ya kucheza upande wa kulia baada...

READ MORE

Djuma, Bangala Watimka Yanga

MASTAA wa Yanga, Djuma Shaaban na Yannick Bangala jana Jumanne saa tisa kamili alfajiri walipanda ndege kurejea nyumbani kwao DR...

READ MORE

Djuma Arejea Yanga, Apewa Program Maalum

BEKI wa pembeni tegemeo hivi sasa Yanga, Mkongomani Shaban Djuma amejiunga kwenye kambi ya timu hiyo sambamba na kupewa program...

READ MORE

Djuma: Simba Wagumu Ila Tutawachapa

BEKI mpya kisiki wa Yanga, Mkongomani Djuma Shaban, amefunguka na kueleza kuwa mechi yao na Simba itakuwa ngumu lakini wamejipanga...

READ MORE

Djuma Shabani Aukubali Muziki wa Nabi Yanga

BEKI mpya wa Yanga Djuma Shabani ameangalia mbinu za kocha wake wa Yanga, Nasreddine Nabi kisha akasema kuwa huyu jamaa...

READ MORE

Simba Kumchomoa Beki Kisiki AS Vita

BAADA ya beki wa kulia wa timu ya AS Vita Club ya DR Congo, Shabani Djuma kuwasumbua Simba katika mchezo...

READ MORE

Kocha wa Simba Kuibukia Gwambina Fc

BAADA ya Uongozi wa Gwambina FC kuachana na benchi la ufundi la timu hiyo lililokuwa linaongozwa na Kocha Mkuu, Fulgence...

READ MORE

BAADA YA KUONDOKA SIMBA, MASOUD DJUMA APATA TIMU LIGI KUU

ALIYEKUWA Kocha Msaidizi wa Klabu ya Simba, Masoud Djuma amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuifundisha AS Kigali inayocheza Ligi Kuu...

READ MORE

Zahera Amkataa Djuma Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amefunguka kuwa mkataba wake unampa ruhusa ya kufanya kazi na kocha yeyote anayemtaka yeye,...

READ MORE

Manara Afunguka, Kocha Djuma Aanika Kuachana na Simba – Video

Baada ya kuoneshwa mlango wa kutoka nje rasmi, Kocha Msaidizi wa Simba, Mrundi, Masoud Djuma, amesema kuondoka ndani ya wekundu...

READ MORE