#GlobalCelebrityUpdates: Jay Z Alimzuia Kabisa Tiwa Savage Kufanya Hili… ( Video)
Kumekuwa na mjadala mkubwa kuwa wasanii wengi wanaosign na label kubwa za Marekani mara nyingi huishia kupotea kwenye game, na Tiwa Savage ni miongoni mwa wasanii waliohofiwa kutokewa kwa jambo hilo baada ya kusign mkataba na Roc Nation…
