×

Tag: Donald Trump

Trump Aibuka na Mpango wa Kufungua Njia ya Mafuta ya Hormuz

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa nchi yake ina uwezo wa kufungua tena njia muhimu ya mafuta ya kimataifa,...

READ MORE

Bei ya Mafuta Yashuka Baada ya Trump Kusema Vita vya Iran Vinaelekea Mwisho – Video

Rais wa Marekani Donald Trump amesema vita dhidi ya Iran vimekaribia kukamilika kabisa, akidai kuwa Iran ilikuwa inapanga kuishambulia Marekani...

READ MORE

Donald Trump: Nitawafukuza wahamiaji kwa namna ambayo haijawahi kutokea

Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amesema iwapo atakuwa rais tena, atawafukuza wageni kwa namna ambayo hakijawahi kushuhudiwa katika...

READ MORE

Rais wa Zamani Marekani Donald Trump Ashtakiwa kwa Ubakaji New York

Mwandishi E Jean Carroll amemshtaki Donald Trump katika jimbo la New York Marekani kwa madai ya kumbaka katika miaka ya...

READ MORE

Donald Trump Atangaza Kugombea Urais Uchaguzi wa 2024

  Wakati kura zikiwa hazijamalizika kuhesabiwa za uchaguzi wa bunge wa katikati ya muhula wa Marekani wa 2022, rais wa...

READ MORE

Uwezo wa Nyuklia Kwenye Serikali ya Kigeni Yahusishwa Kwenye Hati ya Trump

GAZETI la Washington Post liliripoti kwamba miongoni mwa nyaraka zilizopatikana na maajenti wa FBI katika kituo cha mapumziko cha Rais...

READ MORE

Zaidi ya Nyaraka 300 za Siri Zakutwa Kwenye Makazi ya Trump

SERIKALI ya Marekani imekuta zaidi ya nyaraka 300 zenye alama ya siri nzito za serikali ya nchi hiyo, zikiwa kwenye...

READ MORE

Donald Trump Aja na Madai Mazito Dhidi ya FBI, Alaani Jitihada za Kumdhoofisha Kisiasa

WIKI iliyopita, Maafisa wa Usalama Marekani (FBI) walivamia katika nyumba ya aliyekuwa Raisi wa marekani Donald Trump na kusema walipata...

READ MORE

Mke wa Zamani wa Donald Trump, Ivana Afariki Dunia Akiwa na Umri wa Miaka 73

MKE wa kwanza wa  Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, Ivana Trump amefariki dunia Julai 14, 2022 nyumbani kwake ...

READ MORE

Trump: Acheni Kutoa Misaada Ukraine, Angalieni Usalama wa Wanafunzi Wetu Kwanza

RAIS wa zamani wa Marekani Donald Trump amesema Marekani lazima iachane na matumizi ya pesa yasiyokuwa ya lazima ya kuisaidia...

READ MORE

Baraza la Seneti Lashindwa Kumtia Hatiani Trump

Baraza la seneti nchini Marekani limemuondolea mashataka rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump, ya kuchochea shambulio baya dhidi...

READ MORE

Kesi Dhidi ya Trump Kuanza Februari 8

Kesi ya Rais wa zamani wa Marekani itaanza wiki ya pili ya Februari katika Bunge la Seneti, baada ya kuwasilishwa...

READ MORE

Trump Alitaka Mwanasheria Ambaye Angebadili Matokeo ya Kura Georgia

ALIYEKUWA rais wa Marekani Donald Trump alikuwa na mpango wa kumfukuza mwanasheria mkuu kwa kukataa kubadili matokeo ya uchaguzi na...

READ MORE

Trump Amfuta Kazi Mkuu wa Usalama wa Uchaguzi

RAIS Donald Trump wa Marekani  amesema “amemfuta kazi ” mkuu wa usalama wa mtandao na shirika la usalama na miundombinu...

READ MORE

Trump Kupinga Matokeo ya Uchaguzi Mahakamani Akishindwa

Huku kukiwa na kura nyingi tu ambazo bado hazijahesabiwa, Donald Trump amedai kuwa ameshinda. “Ukweli ni kwamba tumeshinda,” amedai hivyo...

READ MORE

Helikopta Ilivyomshusha Trump Hospitali Baada Ya Kukutwa Na Corona -Video

RAIS wa Marekani, Donald Trump amepelekwa katika Hospitali ya kijeshi ya Water Reed iliyoko Bethesda, Maryland, Ijumaa Oktoba 03, baada...

READ MORE

Bunge la Marekani Lasafisha Njia Kumshtaki Trump

BARAZA  la Wawakilishi nchini Marekani limepiga kura kuidhinisha kutumwa kwa mashtaka dhidi ya Rais Donald Trump kwenda katika Baraza la...

READ MORE

Spika Asisitiza Trump Kuwajibishwa kwa Kusaidiwa na Ukraine

CHAMA cha Democrats nchini Marekani  kimeanzisha uchunguzi rasmi dhidi ya rais wa nchi hiyo Donald Trump kuhusiana na madai kwamba...

READ MORE

Trump Asema Yeye Si Mbaguzi

RAIS  wa Marekani, Donald Trump,  amesisitiza kuwa yeye si mbaguzi.   Trump amesema hivyo baada ya mashambulizi yake  kupitia Twitter...

READ MORE

BREAKING NEWS: TRUMP ATEMBELEA KOREA KASKAZINI LEO – VIDEO

Rais wa Marekani, Donald Trump leo Juni 30, 2019 amekuwa Rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini...

READ MORE

Mkuu Wa Kampeni Za Donald Trump Ahukumiwa Kwenda Jela

  MENEJA wa zamani wa kampeni za Rais wa Marekani, Donald Trump, aitwaye Paul Manafort,  amehukumiwa kifungo cha miezi 47...

READ MORE

BINTI DANADANA AMKUNA DOLNALD TRUMP

UNAMKUMBUKA yule mdada ambaye alipata umaarufu kwa kupiga danadana na kuuchezea mpira? Habari ni kuwa uwezo wake huo umevuka mipaka...

READ MORE

Rais Donald Trump Kushtakiwa

  MUUNGANO wa majimbo 16 nchini Marekani yakiongozwa na California yameushtaki utawala wa Rais Donald Trump kuhusu uamuzi wa kutangaza...

READ MORE

TRUMP KUKUTANA TENA NA RAIS WA KOREA KASKAZINI

  RAIS wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kwamba ataanda mkutano wa pili kujadili masuala ya nyuklia na kiongozi wa Korea...

READ MORE

Trump Atishia Kuuangamiza Uchumi Wa Uturuki

  RAIS wa Marekani Donald Trump ametishia ‘kuiangamiza Uturuki kiuchumi’ iwapo taifa hilo litavishambulia vikosi vya Wakurdi nchini Syria baada...

READ MORE

Trump, Melania Wawatembelea Ghafla Wanajeshi wa Marekani Nchini Iraq

  RAIS wa Marekani, Donald Trump na mke wake Melania Trump, wamefanya ziara ya ghafla ya Krismasi ya kuwatembelea wanajeshi...

READ MORE

Kumbe Meek Mill Alifurahia Jay-Z Kumdis Kanye, Trump Kwenye Album Yake! (VIDEO)

  Rapa Meek Mill amefunguka kupitia CNN kuhusiana na nyimbo ya ‘What’s Free’ aliomshirikisha Jay-Z   inayopatikana kwenye albam yake ya...

READ MORE

HAWA NDO WATU 10 WENYE NGUVU YA USHAWISHI ZAIDI DUNIANI 2018

KUWA mmoja kati ya watu wenye nguvu kubwa duniani sio jambo rahsisi,inakupasa uwe na ushawishi mkubwa sana kwa hao hao...

READ MORE

UTAJIRI WA TRUMP WAPUNGUA KWA DOLA MIL 500

  UTAJIRI  wa Rais wa Marekani, Donald Trump, umeporomoka mwaka huu baada ya kupungua kwa Dola milioni 500 ambazo ni...

READ MORE

Museveni Akubaliana Na Trump ‘Kuwananga’ Waafrika

RAIS Yoweri Museveni wa Uganda amesema anampenda Rais wa Marekani, Donald Trump, kwa kusema ukweli baada ya kuzishambulia baadhi ya...

READ MORE

Usichokijua Kuhusu Vita Ya Marekani VS Korea Kaskazini-12

Katika vita hii inayonukia kati ya Marekani na Korea Kaskazini, wiki iliyopita nilieleza namna ambavyo mjadala ulikuwa umepamba moto. Swali...

READ MORE

Trump Atoa Pole Kwa Wafiwa 26 Waliouawa Kanisani Texas (Live Video)

RAIS Donald Trump wa Marekani ametoa pole kwa wafiwa wa watu 26 waliouawa kwa kupigwa risasi na mtu mwenye silaha...

READ MORE

TRUMP JEURI, ATOA KAULI ‘NGUMU’ KUHUSU UJENZI WA UKUTA WA MEXICO

  Trump jeuri… RAIS Trump amewalaumu vikali wapinzani wa chama cha Democratic kuwa wanakwamisha ujenzi wa ukuta utakaotenganisha Marekani na...

READ MORE

Marekani kuziwekea wikwazo Urusi, Iran na Korea Kaskazini

  Baraza la wawakilishi la Marekani limepiga kura kuweka vikwazo vipya dhidi ya Urusi, Iran na Korea Kaskazini. Urusi inaadhibiwa...

READ MORE

Rais Putin: Nimeimarisha Uhusiano Wangu na Trump

RAIS wa Urusi, Vladmir Putin,  amesema kuwa ameimarisha ushirikiano wake wa kikazi na rais wa Marekani Donald Trump ambapo amesema...

READ MORE

Rais Uhuru Kenyatta Akutana na Donald Trump Nchini Italia

Rais Uhuru Kenyatta amekutana na Rais Donald Trump jana huko Taormina nchini Italia walipo kuwa wanaudhuria mkutano wa nchi za...

READ MORE

Rais TrumpAmkatia Simu Waziri Mkuu wa Australia

RAIS Donald Trump wa Marekani amemkatia simu Waziri Mkuu wa Australia, Malcolm Turnbull wakati wakizungumzia makubaliano ya nchi hizo juu...

READ MORE

Trump Kuwatimua Wanaoishi Marekani Kinyume cha Sheria.

Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi. Raia takriban 90 wa Somalia na  Wakenya wawili  wametimuliwa kutoka nchini Marekani...

READ MORE

Trump Afuta Biashara ya Marekani na Nchi Za Pasifiki

Rais Mteule wa Marekani Donald Trump.  RAIS WA MAREKANI Donald Trump amefanya kile alichokiita siku yake ya kwanza kuanza kazi...

READ MORE

Kilichojiri Siku Moja Baada ya Kuapishwa Trump

Baadhi ya waandamanaji wakiwa na mabango barabarani. JUMAMOSI hii mamilioni ya wanawake duniani, waliandamana kupinga kuapishwa Rais Donald Trump akiwa...

READ MORE