Kiongozi Mabohora Duniani Atua kufanya “Royal Tour” Tanzania
Kiongozi Mkuu wa madhehebu ya Kiislamu ya Mabohora (Dawoodi Bohoras); Sheikh Syedna Mufaddal Saifuddin, ametua nchini Alhamisi Juni 16, 2022, tayari kufanya ziara ya kiimani na mapumziko mafupi.
Saydna Mufaddal, atakuwa…
