Wanawake Watano DRC Waishtaki Ubelgiji
Wanawake watano wenye asili ya Kongo na Ubelgiji, waliotengwa na familia zao wakati wa ukoloni wameishtaki serikali ya Ubelgiji kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu. Wanawake hao wanasema walichukuliwa kutoka kwa mama zao weusi wakati wa…
