×

Tag: DRC Congo

Kaka Amuoa Dada Yake na Kuzaa Naye Watoto Wanne

WATU wengi wamezoea kuona mwanaume anamuoa mtu ambaye si damu yake yaani waliozaliwa na baba na mama mmoja, hii ni...

READ MORE

Walinda Amani Umoja wa Mataifa Wafyatua Risasi na Kuua Raia Nchini Congo

WATU wawili wameripotiwa kuuawa na wengine 15 kujeruhiwa baada ya wanachama wa Umoja wa Mataifa wanaolinda amani nchini Jamhuri ya...

READ MORE

Islamic States Yathibitisha Kuhusika na Shambulio katika Mji wa Lume, DRC

KUNDI la kigaidi la Islamic State limethibitisha kuhusika kwenye shambulio la siku ya Alhamisi ambalo lililenga mji wa Lume, jimbo...

READ MORE

Papa Francis aomba Radhi kwa Kuhairisha Ziara yake DRC Congo na Sudani Kusini, Apanga Kufanya Ziara hiyo haraka Iwezekanavyo

    PAPA Francis alisema Jumapili kuwa anatumai kuzuru Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Sudan Kusini haraka iwezekanavyo, baada...

READ MORE

Jino la Waziri Mkuu wa Kwanza wa Congo Kurudishwa Kutoka Ulaya

UBELGIJI itamrudishia rasmi Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Tshisekedi jino ambalo Kamishna wa Polisi wa Ubelgiji anadai...

READ MORE

Polisi DR Congo Afungwa Maisha Kwa Kuua Waandamanaji

  Mahakama kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imemhukumu kifungo cha maisha askari polisi aliyewafyatulia risasi waandamanaji wanaompinga  na...

READ MORE