×

Tag: dulla makabila

Makabila: Simuogopi Nay wa Mitego, Namheshimu na Naweza Kumvunjia Heshima Pia

MSANII wa Singeli Bongo, Dullah Makabila amemjibu Nay wa Mitego baada ya Rapa huyo kutumia ukurasa wake wa Insta story...

READ MORE

Makabila Amwangukia Diamond, Ajuta Kuponzwa na Watu Wake wa Karibu

Msanii maarufu wa Singeli, Dulla Makabila ameibuka na kumwangukia miguuni Supastaa wea Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB,...

READ MORE

Dulla Makabila: Siwezi Kuacha Kwenda kwa Waganga

MWAMBA ni Myao wa Tunduru. Kabla ya kuanza kuimba Singeli alianza kuigiza kwa miaka sita, lakini hakupata nafasi ya kutoka...

READ MORE

Muonekano wa ‘Kidemu’ wa Dulla Makabila Wazua Jambo

Star wa muziki wa Singeli nchini Tanzania, Dulla Makabila ajitosa na kuachia muonekano wake mpya  kike na kuwaacha wengi midomo...

READ MORE

Makabila: Aslya ndiye aliyebadili maisha yangu!

MKALI wa Muziki wa Singeli anayetamba na ngoma yake mpya ya Motoni Kumedamshi, Abdallah Ahmed ‘Dulla Makabila’ amesema moja kati...

READ MORE

DULLAH MAKABILA ANASWA NA KIFAA KIPYA

MSANII wa muziki wa Singeli, Abdallah Ahmed ‘Dullah Makabila’ hivi karibuni alinaswa na kifaa chake kipya anayejulikana kwa jina la...

READ MORE

DULLA MAKABILA KUMTAMBULISHA MREMBO WAKE DAR LIVE

MKALI wa Muziki wa singeli, Dulla Maka­bila amefunguka kuwa atamtambulisha mwa­namke wake wa sasa katika shoo ya Usiku wa Mwisho...

READ MORE

KISA DULLAH MAKABILA… SAJENT, TIKO HAPATOSHI

  UBUYU una tabia moja ya ajabu, ukiula sana, lazima ukuchubue mdomo, lakini siku zote mlaji haachi kuumung’unya! Msanii maarufu...

READ MORE

MPAKA HOME: Makabila Amwanika Mpenzi Wake

NA IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI | MPAKA HOME MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu wa safu hii murua ya Mpaka...

READ MORE