KABLA HUJAKATA TAMAA JIULIZE MASWALI HAYA
KILA mtu ana kiwango chake cha kukata tamaa. Kuna wakati unapanga mipango yako lakini inashindikana. Unajisikia vibaya pale unapoona kila unachofanya hakiwezekani. Ni kweli inaumiza hasa pale unapofanya jambo kwa akili na nguvu zako…
