MCHUNGAJI AANDAA MAOMBI NDOA YA LULU
DAR ES SALAAM: Mchungaji wa Mitume na Manabii, Daudi Mashimo, baada ya kumaliza maombi aliyokuwa akimuombea mwigizaji wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ambaye kwa sasa mambo yanamuendea vizuri, amesema ameandaa maombi maalum…
