Kiungo Aondolewa Yanga Spoti Xtra Yapata Taarifa
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Farid Mussa, ameondolewa katika kambi ya timu hiyo, kutokana na maumivu ya misuli aliyoyapata mazoezini.
Nyota huyo aliondolewa katika msafara wa timu hiyo, uliosafiri kwenda Mbeya kucheza dhidi ya Ihefu…
