Mwigulu: Tumekusanya Bil 48.4 za Tozo, Aibu Miradi ya JPM Kukwama – Video
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema, tangu tozo za miamala ya simu kuanza tayari Tsh bilioni 48.4 zimepatikana huku Tsh bilioni 37 zikielekezwa kwenye ujenzi wa vituo vya afya kwa maeneo ambayo hayakuwahi kuwa na…
