×

Tag: FEI-TOTO

Fei Toto Atajwa Azam Kutolewa Kombe la Shirikisho Afrika Hatua ya Awali

BAADA ya Azam FC kuondolewa katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya awali, kocha wa timu hiyo, Yousouf...

READ MORE

Hatma ya Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Yanga Kujulikana leo Kwenye Ofisi za TFF

  ILE kesi kimkataba inayomuhusisha Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Yanga, inatarajiwa kutolewa ufafanuzi leo Alhamisi kwenye ofisi za Shirikisho...

READ MORE

Sakata La Fei Toto Lamuibua Kigogo Serikalini, Afunguka Mazito Kumaliza Suala Hilo

KUFUATIA sintofahamu iliyopo kati ya uongozi wa Yanga na kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ limemuibua Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo...

READ MORE

Fei Toto Kufungiwa na TFF Ikibainika Azam FC Wamemshawishi Kuvunja Mkataba

MWENYEKITI wa Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Said Sudi amesema ikibainika Azam...

READ MORE

Fei Toto Awaita Mashabiki wa Yanga Uwanja wa Mkapa, Atamba Kushinda ‘Kama Kawa’

  KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amewaomba mashabiki wa timu hiyo leo Jumapili kujitokeza kwa wingi katika...

READ MORE

Kiungo Mrundi Amchambua Fei Toto wa Yanga, Atamani Kucheza Pamoja

KIUNGO mkabaji wa Kiyovu ya Rwanda, Mrundi, Ismail Nshimiyimana ‘Pitchou’, amefunguka kuwa, haitakuwa shida kwake kama ikitokea anapata nafasi ya...

READ MORE

Kisa Simba… Fei Toto, Aucho Wawekwa Chini ya Uangalizi Yanga, Wameanza Mazoezi

JOPO la madaktari wa Yanga chini ya Mtunisia, Youssef Ammar, umewaruhusu viungo wao, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Khalid Aucho...

READ MORE

Fei Toto Ashusha Presha Yanga, Atoa Maneno Mazuri kwa Mashabiki Wake

KIUNGO fundi wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ametoa maneno mazuri kwa mashabiki wa timu hiyo akiwaambia kukosekana kwake uwanjani...

READ MORE

Vigogo Afrika Wagombea Saini ya Fei Toto

KUFUATIA kuwepo kwa taarifa ya klabu kubwa za Afrika kuwa kwenye mchakato wa kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji wa Yanga,...

READ MORE

Mayele, Fei Toto Wawatisha Biashara United

MASTAA wa Yanga wameweka wazi kuwa watakachowafanyia Biashara United ni kuchukua pointi zao tatu kwa ajili ya kujiweka katika nafasi...

READ MORE

Fei Toto, Mayele Wala Kiapo Kuifunga Namungo

MASTAA wa Yanga ni kama wamekula kiapo kuhakikisha leo Jumamosi wanaibuka na ushindi dhidi ya Namungo kutokana na kuweka wazi...

READ MORE

Moloko Ajipa Kazi ya Kumng’arisha Mayele

WINGA ya Yanga, Jesus Ducapel Moloko, amesema atahakikisha anaongeza juhudi katika kutengeneza nafasi kwa washambuliaji wao wakiongozwa na Fiston Mayele...

READ MORE

Aucho: Fei Toto Ana Balaa

KIUNGO wa kati wa Yanga, Mganda, Khalid Aucho, amesema kiungo mwenzake, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ana balaa, huku akiweka wazi...

READ MORE

Fei Toto: Nitawafunga sana mabao ya mbali

KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amewachimba mkwara makipa wa Ligi Kuu Bara kwa kusema kuwa atahakikisha anaendelea kufunga...

READ MORE

Akili za Fei Toto Zinawaza Kufunga

KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum, ‘Fei Toto’ amesema kuwa akiwa uwanjani yeye anawaza kufunga ama kutengeneza nafasi ya bao kwa...

READ MORE

Suti ya Fei Toto Yazua Gumzo – Video

MOJA ya vitu ambavyo vinatesa sana mtandaoni hadi sasa toka tukio la ugawaji wa tuzo za TFF ni mitoko ya...

READ MORE

Fei Toto Atoa Siri ya Mabao ya Kideoni – Video

KIUNGO mzawa wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, amebainisha kuwa amezoea kufunga mabao magumu jambo ambalo halikumpa shida kuwatungua KMC....

READ MORE

Mayele, Fei Toto Wampa Kiburi Nabi

BAADA ya Yanga kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ametamka kuwa hivi...

READ MORE

Chama, Fei Toto, Mukoko, Bocco Nani Zaidi

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuwa tuzo za msimu wa 2020/21 zitakazotolewa na Shirikisho hilo zitatolewa Oktoba...

READ MORE

Fei Toto Aweka Rekodi Yanga

KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameweka rekodi ndani ya Yanga mara baada ya kufanikiwa kuiongoza timu hiyo kushinda...

READ MORE

Tambwe: Fei Toto ni Mchezaji Hatari Yanga

ALIYEKUWA Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe amefunguka kuwa kiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ni mchezaji mzuri na hatari...

READ MORE

Fei Toto na Ufalme Mpya Yanga, Makocha Wanyoosha Mikono

LIGI Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22 inazidi kushika kasi, ambapo jana Jumamosi michezo mitatu ya mzunguko wa pili ilichezwa...

READ MORE

Nabi Amkabidhi Jukumu Zito Fei Toto

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nassredine Nabi, amempa majukumu mazito kiungo mshambuliaji wake Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwa kumtaka kuongeza...

READ MORE

TP Mazembe Watenga Mil 460 Kumng’oa Fei Toto Yanga

KLABU mabingwa mara 5 wa Bara la Afrika, TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wamedhamiria kuinasa saini...

READ MORE

Bilionea Amfanyia Kufuru Fei Toto

BILIONEA na Mdhamini wa Yanga, Gharib Mohammed, amemfanyia kufuru kiungo wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwa kumzawadia gari...

READ MORE

Tonombe, Fei Toto Kuikosa Prisons leo

WACHEZAJI watatu tegemeo hivi sasa wa Yanga viungo Mukoko Tonombe, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na mshambuliaji Michael Sarpong wanatarajiwa kuukosa...

READ MORE

Poulsen Aukubali Mziki wa Nado, Fei Toto

LICHA ya kupoteza mchezo dhidi ya Kenya ‘Harambee Stars’ kwa mabao 2-1, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania,...

READ MORE

Fei Toto Akabidhiwa Tuzo & Mil 1 na SportPesa

KAMPUNI ya michezo na burudani ambao pia ni wadhamini wakuu wa timu za Simba na Yanga, wiki hii waliendesha shindano...

READ MORE

Kisa Simba, Mabosi Yanga Wamuwekea Ulinzi Mkali Fei Toto

WAKATI uongozi wa Yanga kwa kushirikiana na wadhamini wao, Kampuni ya GSM, wakiendelea kuboresha mikataba inayoelekea ukingoni kwa nyota waliopendekezwa...

READ MORE

Fei Toto Ajikabidhi Azam FC

KIUNGO tegemeo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, amejikabidhi rasmi Azam FC, baada ya kusema klabu hiyo imekuwa ikimwinda kwa...

READ MORE

Bao la Fei Toto lanunuliwa Yanga

BAO la dakika 89 alilolifunga kiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ lilizua shangwe na kujikuta akivamiwa na mashabiki wa...

READ MORE

Fei Toto Aleta Mkali Zaidi ya Makambo

ZIKIWA zimesalia wiki nne kabla ya usajili wa dirisha dogo msimu huu, kiungo wa Yanga anayekuja kwa kasi hivi sasa,...

READ MORE

Fei Toto Avuruga Mipango Ya Zahera, Aondolewa Yanga

KIUNGO anayemudu kucheza nafasi ya ukabaji na uchezeshaji wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, ni kama amevuruga mipango ya Kocha...

READ MORE

Fei Toto Amchomoa Tshishimbi Yanga

KIUNGO mpya wa timu ya Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameibuka na kuweka bayana kuwa anatamani kupangwa eneo la kiungo...

READ MORE

Fei Toto, azuia usajili wa Kihimbwa Yanga SC

KUTUA kwa viungo wapya wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Mohamed Issa ‘Banka’ kumemzuia kiungo wa Mtibwa Sugar, Salum...

READ MORE