Shule za Feza Kusomesha Wanafunzi Zadi ya Mia Nne (400) Bure
Katika kuhakikisha inaunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano za kuhakikisha watanzania wanapata elimu bure uongozi wa shule za sekondari Feza inawadhamini watoto wenye mahitaji wanaosoma katika shule za kata…
