Bunge la Uturuki Laidhinisha Mswaada Unaoiruhusu Finland Kujiunga na NATO
Bunge la Uturuki Alhamisi limeidhinisha mswaada wa sheria ili kuiruhusu Finland kujiunga na NATO, na hivyo kuondoa pingamizi zote kwa Helsinki kujiunga na muungano wa ulinzi wa mataifa ya Magharibi wakati vita vikipamba moto nchini…
