×

Tag: fisi

Fisi Tena Bariadi, Mtoto Mwingine Ashambuliwa na Kujeruhiwa Vibaya

Matukio ya Fisi kushambulia watoto na kuwajeruhi vibaya maeneo ya usoni na kichwani yamezidi kushamili katika mji wa Bariadi, ambapo...

READ MORE

Mwanafunzi Simiyu Ajeruhiwa na Fisi Akienda Shule

Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Somanda A iliyopo Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, Hollo...

READ MORE

Mwanafunzi Ajeruhiwa Vibaya na Fisi

Wambua David, mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Yindundu iliyopo Mtito Andei Kaunti ya Makueni nchini Kenya...

READ MORE

Fisi Aondoka na Kiganja cha Mtu

KIJANA Emmanuel Ndete (20), mkazi wa Kata ya Kharumwa, wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, amenusurika kifo baada ya kushambuliwa mpaka...

READ MORE

Fisi Aua Mtoto Tena Shinyanga, Wazee wa Mila Wacharuka

Wakazi wa Kata ya Kitangiri katika Manispaa ya Shinyanga wamewaomba viongozi wa ngazi zote kuchukua hatua za haraka za kukabiliana...

READ MORE

Fisi Aua Mtoto

MTOTO mwenye umri wa miaka mitano ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Zawa, Kata ya Sengerema wilayani Maswa mkoani Simiyu...

READ MORE

Fisi Asababisha Kifo cha Mtoto, Ajeruhi Watatu

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida fisi aliingia ndani ya nyumba na kumnyakua mtoto wa mwaka mmoja na kisha kukimbia naye...

READ MORE

Taharuki! Fisi Atafuna Mbuzi 17

WAKAZI wa Kata ya Lubaga Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Mkoani Shinyanga wameiomba serikali kuwasaidia kutatua changamoto ya uwepo wa...

READ MORE

Waganga wa Shinyanga Wauwa Fisi 11 Geita

  Halmashauri ya wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, imeendesha operesheni kupitia waganga wa jadi kutoka Shinyanga na kufanikiwa kuwaua fisi...

READ MORE

Bad News: Fisi Waua Watoto Wawili Geita

WATOTO wawili wamefariki dunia na watu wanne kunusurika kifo baada ya kuvamiwa na kushambuliwa na kundi la fisi ambao wamekuwa...

READ MORE

Fisi Aliyeua Mtoto, Kujeruhi Wawili Auawa

FISI aliyeua mtoto na kujeruhi watu wazima wawili jana, Septemba 4, 2020,  mchana katika Kijiji cha Mbogo, Wilaya ya Itilima...

READ MORE

Fisi Wakithiri Shinyanga, Serikali Kuwashughulikia

KUTOKANA na kukithiri kwa matukio ya fisi kushambulia wakazi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga hususan watoto wadogo, serikali imeunda...

READ MORE

Mtoto Aliwa na Fisi Hadi Kufa, Mama Asimulia kwa Uchungu – Video

Mtoto Nyanjige Hassan anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka mitano, mkazi wa Kijiji cha Nyamgogwa, kata ya Shabaka, wilayani Nyang’hwale,...

READ MORE

Mke Yamkuta Akitoka Kwenye Ngoma!

  SOPHIA Mashala ( 29) mkazi wa Kijiji cha Kishapu wilayani Kishapu, mkoani Shinyanga amekuwa katika mateso kwa miaka mitano...

READ MORE