Idris Sultan Atokwa Povu Ukaribu wa Wema, Gabo
Na SALUM MILONGO/GPL
MSANII wa komedi Bongo na mshindi wa shindano la Big Brother Afrika 2015, Idris Sultan, ‘Dokta Mwaka’ ametokwa povu baada ya kuona picha za Wema Sepetu na Gabo Zigamba staa wa filamu Tanzania.
Idris…
