The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

gabo

Gabo Amtolea Mtu Uvivu

BAADA ya tetesi nyingi kusambaa mitandaoni kuwa staa wa filamu za Kibongo, Salim Ahmed almaarufu Gabo amemtelekeza mtoto aliyewahi kuzaa na msanii mwenzake, Husna Sajenti hatimaye amemtolea mtu uvivu. Gabo anasema kuwa,…

Gabo: Wanafiki Wanasaidia

MSANII wa Bongo Muvi, Salim Ahmed 'Gabo' amesema kuwa kwenye maisha yake hapendi kabisa marafiki wanaong’ata na kupuliza. Akizungumza na MIKITO NUSUNUSU, Gabo amesema kuwa aina hiyo ya watu ni vigumu sana kuishi nao lakini…

NORAH: NAMZIMIA KWELI GABO!

MKONGWE wa sinema za Kibongo, Nuru Nasoro ‘Norah’ amesema kati ya waigizaji wa kiume anaowakubali kutoka Bongo Movies ni muigizaji Gabo Zigamba. Norah alifunguka hilo hivi karibuni alipokuwa akipiga stori mbili tatu na…