×

Tag: George Lwandamina

Lwandamina Ashtukia Mchongo Azam FC, Afanya Maamuzi

KOCHA Mkuu wa Azam FC, George Lwandamina ameshtukia mchongo, hii ni baada ya kuahirisha mapumziko ya wiki mbili ya kikosi...

READ MORE

Lwandamina Amkataa Muivory Coast Azam

IMETHIBITISHWAkuwa Klabu ya Azam imefikia makubaliano maalum ya kuachana na mshambuliaji wake raia wa Ivory Coast, Richard Djodi kufuatia kocha...

READ MORE

Lwandamina Aanika Mikakati ya Usajili Azam

KOCHA Mkuu wa Azam FC, George Lwandamina amesema kuwa katika kuhakikisha mipango ya kutwaa ubingwa kwa timu hiyo inatimia, atakaa...

READ MORE

Lwandamina Aomba Muda Azam FC

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Mzambia, George Lwandamina, yupo katika mchakato wa kumchunguza nyota mmojammoja katika kikosi hicho ili kupembua...

READ MORE

Video: Lwandamina Atamba Kuifunga Yanga Taifa

 KOCHA Mkuu wa Zesco United, George Lwandamina amesema atatumia ubora wa timu yake dhidi ya Yanga na ana matumaini...

READ MORE

Lwandamina awachokoza Yanga Dar

KOCHA wa zamani wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina amefunguka kuwa anakuja Tanzania kwa kazi moja tu ya kuhakikisha anaifunga timu...

READ MORE

Lwandamina amsainisha Kamusoko

  KOCHA wa Zesco ya hapa, George Lwandamina amemsainisha kiungo fundi aliyetemwa na Yanga, Thabani Michael Kamusoko kwa dili la...

READ MORE

Serikali Yampa Kibali Kocha Yanga SC

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, imempatia kibali cha kufanya kazi nchini Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ambaye...

READ MORE

Yanga Yafufuka, Yaichapa Mbao

HATIMAYE Yanga jana ilifanikiwa kupata ushindi wake wa kwanza baada ya kupita mechi tisa za kimashindano tangu aliyekuwa kocha mkuu...

READ MORE

Yanga Tumieni Muda Huu Kubadili Upepo

 INAFAHAMIKA wazi kwamba hivi sasa Yanga imekuwa haina ma­tokeo mazuri kwenye michuano inayoshiriki tangu kuondoka kwa aliyekuwa kocha wao mkuu,...

READ MORE

LWANDAMINA ATAMBULISHWA RASMI ZESCO UNITED

Kocha wa zamani wa Yanga, George Lwandamina, rasmi ametambulishwa na uongozi wa Zesco United ya Zambia kuwa Mwalimu Mkuu wa...

READ MORE

George Lwandamina Ni Msaliti Wa Yanga, Bila Kupepesa

WAKATI kumejaa sintofahamu kuhu­su Kocha wa Yanga Mzambia, George Lwandamina ambaye ametimkia kwao ku­jiunga na timu ya Zesco ya huko,...

READ MORE

Kipimo Cha Busara Za Uongozi Na Mashabiki Wa Yanga Ni Sasa

KOCHA George Lwandamina ameamua kuondoka na kurejea kwao Zambia akiwa ameandika barua ya kuachia ngazi kuinoa Yanga. Lwandamina kaandika barua...

READ MORE

Mabosi Yanga Wakutana Usiku Kumjadili Lwandamina

KAMATI ya Utendaji ya Yanga, juzi usiku ilikutana haraka kujadili suala kuondoka kwa kocha wao Mzambia, George Lwandamina aliyejiunga na...

READ MORE

Lwandamina Akosekana Leo, Kikosi Kamili Cha Yanga SC Vs Singida Hiki Hapa

Klabu ya Yanga imetangaza kikosi chake kitakachocheza dhidi Singida United Uwanja wa Taifa leo  bila kumtaja Kocha wao Mkuu, George...

READ MORE

Lwandamina Atimka Yanga, Atua Zesco

HATIMAYE kocha wa Yanga, George Lwandamina, jana aliwashangaza wengi baada ya kutimka kwenye timu hiyo kimyakimya na kujiunga na timu...

READ MORE

Yanga: Tumegundua Janja Ya Waethiopia, Tunawapiga Kesho

BENCHI la Ufundi la Yanga lina­loongozwa na Mzambia, George Lwandamina, limewashitukia wapinzani wao, Wolayta Dicha ya Ethiopia ambapo sasa limeamua...

READ MORE

Lwandamina Kumbe Mjanja Sana

KOCHA wa Yanga, George Lwandamina ni mjanja sana kwani ametengeneza kikosi ambacho sasa hakimtegemei mchezaji mmoja katika kupata mafanikio.  ...

READ MORE

Yanga SC Yafunguka Itakachofanya Kimataifa

  BAADA ya kikosi cha Yanga hivi karibuni ku­tupwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kocha mkuu wa...

READ MORE

Lwandamina Aonyeshwa Mlango Wa Kutokea Yanga

BAADA ya kuwepo taarifa kuwa huenda Kocha Mkuu wa Yanga, George Lwandamina akatimkia katika Klabu ya Zesco, uongozi wa Yanga...

READ MORE

Lwandamina Amfungulia Milango Straika Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina amemruhusu straika wake, Matheo Anthony kuondoka klabuni hapo ili akatazame maisha sehemu nyingine...

READ MORE

Lwandamina Hacheki, Hanuni Lakini…

KILA mmoja anaweza kuwa na aina yake ya kila kitu, hii inatokana na namna Mwenyezi Mungu alivyotuumba ingawa kuna mambo...

READ MORE

Lwandamina Vs Omong Rekodi Zinasema

LEO Jumamosi Yanga inaikaribisha Simba katika mchezo namba 58 wa Ligi Kuu Bara katika raundi ya nane ya ligi hiyo...

READ MORE

LWANDAMINA: TUTAANZA LIGI KWA NJOMBE JUMAPILI

Omary Mdose KOCHA Mkuu wa Yanga, George Lwandamina, amesema kuwa, watakachowafanya Njombe Mji, itakuwa salamu kwa timu nyingine kwamba ndiyo...

READ MORE

Lwandamina Kuitesti Mitambo Kesho

WACHEZAJI wapya wa Yanga wakiongozwa na Ibrahim Ajibu, kiungo Raphael Daud na kipa Mcameroon, Rostand Youthe kwa mara ya kwanza...

READ MORE

Lwandamina Amaliza Utata Wa Mcameroon, Mnigeria, Awapa Dakika 180 Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga Mzambia, George Lwandamina amemaliza mazoezi ya fitinesi na jana jioni alitarajia kupanga vikosi viwili vitakavyocheza mechi...

READ MORE

Lwandamina Ampa Onyo Ajibu

KOCHA wa Yanga, George Lwandamina, raia wa Zambia, amewapiga ‘biti’ wachezaji wake wote akiwemo mshambuliaji mpya, Ibrahim Ajibu aliyetoka Simba...

READ MORE

Lwandamina amfungia kazi Ibrahim Ajibu

KIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga, Ibrahim Ajibu, jana alitambulishwa na kuanza mazoezi ya pamoja na wenzake chini ya Kocha wa...

READ MORE

Lwandamina amshusha Dar ndugu wa Kamusoko

MIDO mpya anayewaniwa na Yanga, Mcongo, Papy Kabamba Tshishimbi ‘Rasta’ ameshindwa kutua kwa wakati ndani ya kikosi hicho, baada ya...

READ MORE

Lwandamina Awahenyesha Msuva, Niyonzima Kwenye Jua Kali Zenji

Musa Mateja na Said Ally, Championi Jumatano Toleo na 1955 KOCHA Mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina, kuonyesha kuwa hataki...

READ MORE