Gigy Money: Wanaume Muwanunulie Pedi Wapenzi Wenu- Video
MSANII wa Muziki wa Bongo Flea, Gift Stanford amewakumbusha wanaume kuwa mbali na zawadi wanazowapelekea wapenzi wao pia wanapaswa kuwanunulia taulo za kike (maarufu kama pedi) kwa ajili ya kuwawezesha wanapoingia katika siku zao iwe rahisi…
