Chelsea Yasajili Straika Wa Juventus Kwa Mkopo
KLABU ya Chelsea ya Uingereza imemsajili kwa mkopo mshambuliaji wa Juventus. 'Gonzalo Higuain'. mpaka mwisho wa msimu.
Miamba hiyo ya London pia ina nafasi ya kumsajili moja kwa moja kwa kima cha pauni milioni…
