“Shabir hebu mwache mimi nitaongea naye!” Alisema Leah alipomwangalia Victoria na kushikwa na huruma ! Aligundua kitu walichokuwa wakikifanya yeye...