×

Tag: Hamisa Mobetto

Hamisa Mobetto Afunguka Kuhusu Diamond Kuichunia Birthday ya Mtoto Wao

MWANAMITINDO  Hamisa Mobetto amejibu sababu za kwa nini mzazi mwenzake Nassib Abdul ambaye ni msanii wa bongo fleva kutompost mtoto...

READ MORE

Mobetto Athibitisha Kutolewa Posa ya Shilingi Milioni 10

HAMISA Hassan Mobetto au Misa; ni mwanamitindo, msanii wa muziki na mjasiriamali maarufu Bongo ambaye anafunguka kuwa, aliwahi kutolewa posa...

READ MORE

Hamisa Mobetto ft Seneta Kilaka: Ex wangu (Remix Official Video)

 MWANAMITINDO maarufu Bongo na Mwanamuziki, Hamisa Mobeto leo Julai 9, 2021 ameachia video ya ngoma yake mpya ya Ex...

READ MORE

Ifike Mahali Wema Umuamkie Mobeto

KUTANGULIA sio kufika! Ndio unavyoweza kusema. Mrembo wa taifa, Tanzania Sweetheart Wema Sepetu alitangulia kuchomoka kwenye umaarufu lakini mwanamitindo Hamisa...

READ MORE

Aliyeibiwa MUME na MOBETO Alipuka, Atuma UJUMBE Mzito!!

Mwanamke Tasha ambaye anaishi na Mzazi mwezie kwa takribani zaidi ya miaka mitatu anaejulikana kwa Jina la Alex ambaye amekuwa...

READ MORE

VIDEOMPYA: Hamisa Mobetto Adhihirisha Mapenzi Ya Kweli ‘My Love’

  Msanii wa kike Hamisa Mobetto ameileta video ya wimbo wake mpya My Love, ambapo humo ndani amemwaga sifa pamoja...

READ MORE

TAHIYA AMSUSIA BWANA MOBETO

VIDEO Queen Tahiya John ambaye hivi karibuni alifunguka kuchukuliwa bwana na mwanamitindo Hamisa Mobeto ameonekana kumsusia bwana huyo baada ya...

READ MORE

NGOMA MPYA: Mobetto Aijua Thamani Ya Neno ‘Sawa’ Kwenye Mapenzi

  Baada ya Hamisa Mobetto kufanya vizuri na Madam Hero mwaka jana, Muda huu ameileta nyingine mpya inajulikana kwa jina...

READ MORE

Hamisa Mobetto – Madam Hero (Video Mpya)

MWANAMITINDO na mjasiriamali ambaye pia ni mzazi mwenzake na Diamond Platinumz, Hamisa Mobetto ameachia Video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Madam...

READ MORE

Diamond; Umaarufu Umekulevya Sasa, Jitathmini Upya

KWA kila mtu anayemfahamu Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, msanii wa kizazi kipya ambaye kwa kipindi kirefu amekuwa akiipeperusha bendera ya...

READ MORE

Mobeto: Nimekubali Kuwa Nyumba Ndogo Kwa Zari (Videoz +Pichaz)

MWANAMITINDO  Hamisa Mobeto amefunguka kuhusu uhusiano wake na mjasiriamali Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kuwa hana tatizo na ‘mke...

READ MORE

Sabby: Hamisa Pigania Ndoa Sasa

MSANII wa filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amemtaka mwanamitindo Bongo, Hamisa Mobetto kupigania ndoa kwa Mbongo Fleva aliyezaa naye,...

READ MORE

ACHANA NA ILE RAV 4, MOBETTO KUSHUSHIWA PRADO MPYA!

Mwanamitindo ‘hot’ ambaye kwa sasa amegeuka mswaki kutokana na kuongelewa kila kona, Hamisa Mobetto, amewaacha watu njia panda baada ya...

READ MORE

BAADA YA MTOTO WA MOBETO, MAPACHA WENGINE WAIBUKA KUTOKA BURUNDI!

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, wakati sakata la mwanamitindo, Hamisa Mobeto, kuzaa na mzazi mwenziye Zarinah Hassan ‘Zari The...

READ MORE

SHAMSA FORD ACHUKIZWA HAMISA KUCHEPUKA NA BWANA WA ZARI!

Wakati sakata la Hamisa Mobeto kuzaa na mzazi mwenziye Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’, likiwa bado bichi na watu...

READ MORE

ZARI: KINILIZE NINI WAKATI AKAUNTI YANGU BENKI IKO FULL!

      KUFUATIA sakata la mzazi mwenziye kuchepuka na kuzaa na mwanamitindo maarufu Bongo, mwanamke shupavu na mjasiriamali, Zarinah...

READ MORE

MOBETTO AMTINGISHA ZARI NA PICHA ZA HARUSI!

  Wakati Watanzania wakiendelea kujiuliza kuhusiana na nani ni baba wa mtoto wa Mwanamitindo machachari Bongo, Hamisa Mobetto, amezua tena...

READ MORE

Kisa Kuzaa na Msanii… Hamisa Afungwa Mdomo

MAMA mzazi wa mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Mobetto ambaye hivi karibuni alijifungua mtoto anayedaiwa kuzaa na msanii wa Bongo Flava,...

READ MORE