Kijana Hamisi Afariki Dunia – Video
KIJANA Hamisi Salum (21) aliyekuwa akisumbuliwa na tatizo la kuvimba miguu amefariki dunia akiwa nyumbani kwao Tandika jijini Dar es Salaam baada ya kuzidiwa.
Hamisi alikuwa akisumbuliwa na tatizo la kuvimba miguu kwa muda…
