The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

harmo

Harmonize: Nimebezwa Sana

Harmonize au Konde Boy Mjeshi amefunguka kuwa, pamoja na mafanikio aliyoyapata, lakini hawezi kusahau nyakati ngumu alizopitia ikiwemo kubezwa sana katika miaka miwili ambayo  ameianzisha lebo yake ya muziki ya Konde Gang Music baada ya…

Harmo Aundiwa Hujuma Nzito

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Rajab Abdul ‘Harmonize’ hivi karibuni ameundiwa hujuma nzito baada ya kudaiwa kuacha kufanya kazi na mmoja wa meneja wake anayefahamika kwa jina la ‘Jembe ni Jembe’. Akizungumza na…

Harmo Kumburuza Wolper Kortini

TUSI la kishari la msanii Jacqueline Wolper Massawe alilomvurumisha mpenzi wake wa zamani Rajabu Abdul Kahali ‘Harmo’ huwenda likamtia matatani, Risasi limedokezwa. Wolper kupitia ukurasa wake wa Instagram hivi karibuni aliandika…

Ni Vita ya Funga Mwaka

MUZIKI mzuri hutengenezwa na ubunifu ambao unafanywa na wasanii kwa kufanya kazi nzuri. Kazi ambayo inaweza kuishi miaka mingi na kusikilizwa au kutazamwa na vizazi vingi vya baadaye. Baada ya Dunia na mataifa mengi kukumbwa na janga la…

Bifu la Mondi, Harmo la Moto!

BIFU la mastaa wawili wakubwa wa Bongo Fleva na mabosi wa lebo za muziki Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Mondi’ na Rajab Abdul ‘Harmonize’ au ‘Harmo’, limezidi kuwa la moto mno. Hilo limezidi kuthibitika Ijumaa…

Harmo Afunguka Kofia ya JPM

STAA wa muziki na bosi wa lebo ya Konde Gang Music Worldwide, Rajab Abdul ‘Harmonize,’ amefunguka kupewa heshima ya kofia na RaisJohn Magufuli, kwenye kampeni wilayani Chato, Geita. Harmo amesema kuwa ni heshima kubwa…