Waziri Mwakyembe Azindua Kanuni Mpya Za Bodi Ya Filamu
Waziri wa Sanaa Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe leo amezindua kanuni mpya za Bodi ya Filamu nchini ambapo zitawapa unafuu wadau wa tasnia hiyo.
Waziri Mwakyembe amezindua kanuni hizo baada ya kufanyiwa mchakato wa muda…
